
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba ameitaka Polisi
kutotumia nguvu kubwa katika mambo yasiyokuwa na manufaa kwa wananchi
ila nguvu hizo zitumike kupambana na biashara ya dawa za kulevya kwa
maslahi mapana ya taifa.
Nchemba ameyasema hayo juzi wakati akifunga mafunzo ya awali ya polisi
na uhamiaji, katika Shule ya Polisi Tanzania-Moshi, ambapo zaidi ya
wanafunzi 3,000 walihitimu...
No comments:
Post a Comment