Freedom party’s Norbert Hofer, who won 36% of vote, has threatened to dissolve parliament before 2018 elections
Tuesday, August 30, 2016
Serikali Kutoa Ajira Mpya 71,496 Hivi Karibuni
Tuesday, August 30, 2016
Serikali Kutoa Ajira Mpya 71,496 Hivi Karibuni

SERIKALI
imeanza kuwashughulikia watumishi walionufaika na fedha za watumishi
hewa ambapo hadi sasa watumishi 839 wapo katika hatua mbalimbali
wakiwemo waliofikishwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa
(Takukuru) na wengine wanaendelea kuhojiwa polisi kwa ajili ya
kufikishwa mahakamani.
Sambamba
na hilo, serikali inatarajia kutoa ajira mpya 71,496 kwa mwaka huu wa
fedha baada ya kukamilisha uondoaji wa wafanyakazi hewa.
Friday, July 15, 2016
Friday, July 15, 2016
Breaking News: Matokeo Ya Kidato Cha Sita(ACSEE) Na Ualimu (DSEE Na GATCE) 2016 Yametangazwa.....Bofya hapa Kuyaangalia

Matokeo ya Kidato cha Sita 2016 Yametoka....Bofya hapo chini Kuyaangalia
1.( Form Six ) ==> BOFYA HAPA KUYAANGALIA>>
2.DSEE==>> Bofya Hapa
3.GATCE==> Bofya Hapa
...
Sunday, June 26, 2016
Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Na Kidato Cha Tano Na Vyuo Vya Ufundi Kwa Mwaka 2016
Breaking News: Orodha Ya Majina Ya Wanafunzi Waliochaguliwa Kujiunga Na Kidato Cha Tano Na Vyuo Vya Ufundi Kwa Mwaka 2016
OR-TAMISEMI inawatangazia majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi kwa mwaka 2016.
Wanafunzi waliochaguliwa ni kutoka shule za Serikali na zisizo za Serikali. Jumla ya wanafunzi 65,720 wakiwemo wasichana 29,457 na wavulana 36,263 wamechaguliwa kujiunga na Kidato cha Tano na Vyuo vya Ufundi.
Waziri Nchemba Kazini, Awaonya Polisi Matumizi ya Nguvu

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba ameitaka Polisi
kutotumia nguvu kubwa katika mambo yasiyokuwa na manufaa kwa wananchi
ila nguvu hizo zitumike kupambana na biashara ya dawa za kulevya kwa
maslahi mapana ya taifa.
Nchemba ameyasema hayo juzi wakati akifunga mafunzo ya awali ya polisi
na uhamiaji, katika Shule ya Polisi Tanzania-Moshi, ambapo zaidi ya
wanafunzi 3,000 walihitimu...
Saturday, June 25, 2016
Agricultural engineering
Agricultural engineering is the engineering discipline that applies engineering science and technology to agricultural production and processing. Agricultural engineering combines the disciplines of animal biology, plant biology, and mechanical, civil, electrical and chemical engineering principles with a knowledge of agricultural principles.[1][2]
- design of agricultural machinery, equipment, and agricultural structures
- internal combustion engines as applied to agricultural machinery
- agricultural resource management (including land use and water use)
- water management, conservation, and storage for crop irrigation and livestock production
- surveying and land profiling
- climatology and atmospheric science
- soil management and conservation, including erosion and erosion control
- seeding, tillage, harvesting, and processing of crops
- livestock production, including poultry, fish, and dairy animals
- waste management, including animal waste, agricultural residues, and fertilizer runoff
- food engineering and the processing of agricultural products
- basic principles of circuit analysis, as applied to electrical motors
- physical and chemical properties of materials used in, or produced by, agricultural production
- bioresource engineering, which uses machines on the molecular level to help the environment.
- Design of experiments related to crop and animal production
Monday, May 23, 2016
Haya Hapa Majina Ya Kambi Zote 11 Ya Wanafunzi Kidato Cha 6 Waliopangiwa JKT 2016
1.Rwamkoma Jkt......<<bonyeza Hapa>>
2.Mafinga Jkt .....<<bonyeza Hapa>>
3.Makutupora Jkt.......<<bonyeza Hapa>>
4.Mtabila Jkt......<<bonyeza Hapa>>
5.Kanembwa Jkt.....<<bonyeza Hapa>>
6.Bulombora Jkt.....<<bonyeza Hapa>>
7.Ruvu Jkt.......<<bonyeza Hapa>>
8.Mgambo Jkt ......<<bonyeza Hapa>>
9.Maramba Jkt......<<bonyeza Hapa>>
10.Mlale Jkt.....<<bonyeza Hapa>>
11.Msange Jkt.....<<bonyeza Hapa>>
Bonyeza HAPA kudownload applicationi ya habarimpyatz blog kwenye simu yako ili kupata habari zetu Haraka
Sunday, May 1, 2016
I saw the darkness of antisemitism, but I never thought it would get this dark
Racism
is not a specific illness but a general sickness. Display one symptom
and you display them all. If you show me an anti-Muslim bigot, I will be
able to guess his or her views on the European Union, welfare state,
crime and “political correctness”. Show me a leftwing or Islamist
antisemite and, once again, he will carry a suitcase full of prejudices,
which have nothing to do with Jews, but somehow have everything to do
with Jews.
The Labour party does not have a “problem with antisemitism” it can isolate and treat, like a patient asking a doctor for a course of antibiotics. The party and much of the wider liberal-left have a chronic condition.
As I have written about the darkness on the left before, I am not going to crow now that it has turned darker than even I predicted. (There is not much to crow about, after all.) I have nothing but respect for the Labour MPs who are trying to stop their party becoming a playpen for fanatics and cranks. It just appears to me that they face interlocking difficulties that are close to insoluble.
They must first pay the political price of confronting supporters from immigrant communities, which Labour MPs from all wings of the party have failed to do for decades. It may be high. While Ken Livingstone was forcing startled historians to explain that Adolf Hitler was not a Zionist, I was in Naz Shah’s Bradford. A politician who wants to win there cannot afford to be reasonable, I discovered. He or she cannot deplore the Israeli occupation of the West Bank and say that the Israelis and Palestinians should have their own states. They have to engage in extremist rhetoric of the “sweep all the Jews out” variety or risk their opponents denouncing them as “Zionists”.

Monday, April 25, 2016
Austrian far-right party's triumph in presidential poll could spell turmoil
Austria
is braced for political turmoil with fears that the landslide victory
for a rightwing populist and gun-carrying candidate in Sunday’s
first-round presidential vote could trigger snap elections.
Norbert Hofer, of the rightwing Freedom party (FPÖ), defied
pollsters’ predictions to beat the Green party’s Alexander Van der
Bellen into second place, gaining 36% of the vote. The two candidates
will go head to head in a run-off ballot on 22 May.
While the presidential post is mainly a ceremonial role, Hofer has threatened to make use of a right to dissolve parliament before the 2018 elections, warning other candidates in a TV debate that “you will be surprised by what can be done [by a president]”.
Hofer, a youthful 45-year-old who is partially paralysed after a paragliding accident, has campaigned for disability rights and is seen as having lent a friendly face to a party that balances virulently anti-immigration and Eurosceptic messages with leftist stances on welfare issues, led by firebrand Heinz-Christian Strache.

Kambi ya upinzani bungeni
BARAZA la Mawaziri Kivuli la Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, jana
lilikutana kwa saa kadhaa mjini Dodoma kujadiliana mambo mbalimbali,
huku likimtwisha mzigo
Kiongozi wao, Freeman Mbowe.
Moja ya ajenda kubwa iliyotawala kikao hicho ni jinsi gani mawaziri vivuli hao watakavyokabiliana na mawaziri wa Rais Dk. John Magufuli ndani ya Bunge kuhusiana na hoja nzito zitakazoibuka.
Mawaziri vivuli wanatokana na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ambavyo ni Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi.
Kikao hicho kilifanyika kuanzia saa 8.00 mchana hadi 11:30 jioni huku mawaziri vivuli hao wakijadili mwenendo wa Bunge kwa sasa, maandalizi ya bajeti za Kambi ya Upinzani na wajibu wao.
Chanzo cha uhakika kutoka ndani ya kikao hicho kiliiambia MTANZANIA kuwa mawaziri wamemtaka Mbowe kusimama kidete na kuhakikisha anasimama imara na kutoa kauli kuhusu mambo yanayoendelea ndani ya Bunge.
“Kikao chetu kilikuwa cha kawaida, tulikuwa tunakumbusha wajibu wetu kama mawaziri vivuli na mambo ya kusimamia ndani ya Bunge.
“Tumejadili kwa kina kuhusu mwenendo wa Bunge na namna waandishi wa wanavyopata shida kutimiza wajibu wao, tumemwomba Mbowe atoe msimamo wetu.
“Pia suala la maandalizi ya bajeti yetu tumeliangazia kwa kina, hasa upande wa kambi yetu na namna ya kujipanga zaidi… maana Bunge limekuwa kama kibogoyo.
“Serikali imekuwa inaliendesha, jambo hili linatisha,” kilisema chanzo chetu cha habari.
Juhudi za kumpata Mbowe kuzungumzia majukumu aliyopewa hazikuzaa matunda kwa vile kwa muda mwingi simu yake ya kiganjani haikuwa hewani.
Mwishoni wa wiki iliyopita, Mbowe aligoma kuwasilisha maoni ya kambi hiyo kuhusiana na Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, huku akitaka maelezo ya muundo wa Serikali ya Rais Dk. John Magufuli akisema haujaundwa kihalali.
Alisema Rais Magufuli ameshindwa kutekeleza sheria ya utekelezaji wa majukumu ya mawaziri ya mwaka 1980 ambayo hutolewa katika gazeti la Serikali kila linapotaka kuundwa Baraza la Mawaziri.
Badala yake kazi zimekuwa zikifanyika kwa maagizo, alisema.
BARAZA la Mawaziri Kivuli la Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, jana
lilikutana kwa saa kadhaa mjini Dodoma kujadiliana mambo mbalimbali,
huku likimtwisha mzigo Kiongozi wao, Freeman Mbowe.
Moja ya ajenda kubwa iliyotawala kikao hicho ni jinsi gani mawaziri vivuli hao watakavyokabiliana na mawaziri wa Rais Dk. John Magufuli ndani ya Bunge kuhusiana na hoja nzito zitakazoibuka.
Mawaziri vivuli wanatokana na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) ambavyo ni Chadema, CUF na NCCR-Mageuzi.
Kikao hicho kilifanyika kuanzia saa 8.00 mchana hadi 11:30 jioni huku mawaziri vivuli hao wakijadili mwenendo wa Bunge kwa sasa, maandalizi ya bajeti za Kambi ya Upinzani na wajibu wao.
Chanzo cha uhakika kutoka ndani ya kikao hicho kiliiambia MTANZANIA kuwa mawaziri wamemtaka Mbowe kusimama kidete na kuhakikisha anasimama imara na kutoa kauli kuhusu mambo yanayoendelea ndani ya Bunge.
“Kikao chetu kilikuwa cha kawaida, tulikuwa tunakumbusha wajibu wetu kama mawaziri vivuli na mambo ya kusimamia ndani ya Bunge.
“Tumejadili kwa kina kuhusu mwenendo wa Bunge na namna waandishi wa wanavyopata shida kutimiza wajibu wao, tumemwomba Mbowe atoe msimamo wetu.
“Pia suala la maandalizi ya bajeti yetu tumeliangazia kwa kina, hasa upande wa kambi yetu na namna ya kujipanga zaidi… maana Bunge limekuwa kama kibogoyo.
“Serikali imekuwa inaliendesha, jambo hili linatisha,” kilisema chanzo chetu cha habari.
Juhudi za kumpata Mbowe kuzungumzia majukumu aliyopewa hazikuzaa matunda kwa vile kwa muda mwingi simu yake ya kiganjani haikuwa hewani.
Mwishoni wa wiki iliyopita, Mbowe aligoma kuwasilisha maoni ya kambi hiyo kuhusiana na Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, huku akitaka maelezo ya muundo wa Serikali ya Rais Dk. John Magufuli akisema haujaundwa kihalali.
Alisema Rais Magufuli ameshindwa kutekeleza sheria ya utekelezaji wa majukumu ya mawaziri ya mwaka 1980 ambayo hutolewa katika gazeti la Serikali kila linapotaka kuundwa Baraza la Mawaziri.
Badala yake kazi zimekuwa zikifanyika kwa maagizo, alisema.
Friday, April 22, 2016
Katoka Kimapenzi na Diamond
Picha 7 za Mrembo Anayedaiwa Kutoka Kimapenzi na Diamond Platnumz...Timu Zari Waendelea Kumuandama instagramu
Top 10 Weight Loss Tips – How to Lose Weight Naturally in 30 Days
Subscribe to:
Posts (Atom)